Mnikaribishe ndugu zangu

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
2,178
Reaction score
3,865
Hodihodi wana jamiiforums. Nimekuwa msomaji mzuri wa hapa kwa takribani kama miaka miwili nwishoo nimeamua kuwa mwanachama na mimi. Mnikaribishe kama hamtojari
 
Karibu sana ila uoshe na kuyachuja maneno yako pamoja na fikra zako ili zisiwe na harufu ya Shombo.

Vinginevyo, karibu sana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…