Mniombee kuna gari inanifuata.

tehe tehe tehe nenda kituo cha police ingawa huko nako hakuaminiki
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.

Nasikia wa leo hao wanaokufuatilia hawaji na ile style ya SMG ya jana bali leo wanakuja kukushambulia na Mikuyenge Bunduki zao hivyo kama katika hiyo ' motokaa ' yako kuna ' Wese ' la KY waandalie tu ili wateleze, watiririke na waserereke vizuri nawe na wasikuue.
 
Mh! Mkuu pole sana piga simu kwa jamaa yako ambaye ana gari mwambie uko wapi na muombe akufuate na achukue picha ya gari hilo na namba zake.

Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.

Nanukuu "Jiulize utaifanyia nini bangi na si bangi itakufanyia nini".Mwisho wa kunukuu
 
Mh! Mkuu pole sana piga simu kwa jamaa yako ambaye ana gari mwambie uko wapi na muombe akufuate na achukue picha ya gari hilo na namba zake.

Hahahahhha poa mkuu bak
 
Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.

Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
 
Attachments

  • IMG-20170908-WA0007.jpg
    45.4 KB · Views: 31
Usishuke kwenye gari Mkuu. Kisha laza siti kama wakifyatua risasi zikupate kwenye mguu na tumboni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…