M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Hahahah daah we jamaa muuaji kweliUsishuke kwenye gari Mkuu. Kisha laza siti kama wakifyatua risasi zikupate kwenye mguu na tumboni tu.
Ondoa mashaka ni tax bubu hiyoWakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.
Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
Haha[emoji1] [emoji1] [emoji1] mungu anakuonaMungu akuongoze lakin wakirudi nyuma itakubidi uwafuate wao ili ngoma iwe droo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu akuongoze lakin wakirudi nyuma itakubidi uwafuate wao ili ngoma iwe droo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jana DAB alikuwa wapi? Kuna mtu anaitwa Quinine ameanzisha uzi sijui umefutwa maana ile nataka kukoment nikawa sina access.Nasikia wa leo hao wanaokufuatilia hawaji na ile style ya SMG ya jana bali leo wanakuja kukushambulia na Mikuyenge Bunduki zao hivyo kama katika hiyo ' motokaa ' yako kuna ' Wese ' la KY waandalie tu ili wateleze, watiririke na waserereke vizuri nawe na wasikuue.
Kwani hiyo barabara ni yako pekee! Wanasimama kwa kuwa hawakuamini.Wakuu dua zenu zinahitajika kuna gari inanifuata kimya kimya.
Nikisimama nao wanasimama narudia tena dua zenu leo kuna kazi kubwa sana.
Atangulie kuzimu.Rest in peace
Plate number fake.Mkiwa katika this situation someni namba za gari kwanza halafu pigia mtu wako wa karibu simu umjuulishe tena tuma audio msg iwe ndio kumbukumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ! ! Ubinadam, na utu, viko wapi ?Nasikia wa leo hao wanaokufuatilia hawaji na ile style ya SMG ya jana bali leo wanakuja kukushambulia na Mikuyenge Bunduki zao hivyo kama katika hiyo ' motokaa ' yako kuna ' Wese ' la KY waandalie tu ili wateleze, watiririke na waserereke vizuri nawe na wasikuue.