Mnipokee Ni Member Mpya

Karibu sana mkuu ndani ya nyumba, soma JF rules.
 
Wakaribishwa sana..

Yani we mgeni lakini umeingia chumbani moja kwa moja....Wageni huwa wanakaa sebuleni kule Jukwaa la Utambulisho..
 
karibu sana kuna kila aina ya vituko
 
Karibu sana.
Vipi unamke labda, watoto au upo single lol!!
 
Hili jukwaa bila kulijua kuna watu watakuwa wametumwa kuharibu uhalisia na maudhui ya kupeana habari humu ndani mod muwe makini na hawa vidudu mtu ambao wanataka kupoteza malengo na kuleta mzaha ndani ya hii Jf
 
Karibu, Lakini tabia za bavicha (Matusi & midomo michafu) hapa JF haziruhusiwi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…