miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Unajipendekeza do shoga mambo ya jri club hayo
usimpe bia tafadhali, naomba uumpe juice, asije mgeni akalewa akuaanza vituko mapemaa
Bila shaka atakua anatumia Mbege
kiruuuuu!!usinifundishe kuigiza mimi natumia vilevi eti nimpe juice wakati sina hiyo bajeti ale nacho kula anywe nacho kunywa over