desmond dekker
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 201
- 245
wana jf hamjamboni?ni member mpya nimetokea kijiji cha vibamba Tanga. kwa sasa niko Arusha kikazi.tena nawaombeni mnisaidie kupata mke mzuri mwenye maadili.umri wangu 27 yrs.nimeajiriwa kwenye mojawapo ya taasisi za serikali na tayari nimeshajenga nyumba ya kuishi.natafuta mke ili tufurahie mafanikio yetu pamoja maana Mungu mkubwa.any interested lady,22 yrs to 26yrs naomba unifahamishe.moyo mweupe ndio kigezo kikubwa