Mnunuzi wa nafaka hasa Mahindi

Mnunuzi wa nafaka hasa Mahindi

YoungIsrael

Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
7
Reaction score
2
Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
 
Mkuu nimetoka kuvuna mahindi yako vzr ila nayapukuchua Mwezi wa nane au wa Tisa gunia zipo Zaidi ya 50..singida
IMG_20210618_161920.jpg
 
Back
Top Bottom