Mnyama Akiwa Mapumzikoni.. Wafuatao Kuendelea Kukinukisha.

Mnyama Akiwa Mapumzikoni.. Wafuatao Kuendelea Kukinukisha.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Baada ya kuwahenyesha vilivyo Ndala 30-09-2018 ambapo zilipigwa pasi zaidi ya 2314 katika dimba la Taifa, mnyama mkali Simba SC ameingia mapumzikoni.

Mapumziko hayo yamekuja ili kupisha mechi za timu za Taifa. Katika kipindi hiki, wachezaji wafuatao wameitwa kuzitumikia timu zao za Taifa.
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Jonas Mkude
4. John Bocco
5. Meddie Kagere
6. Haruna Niyonzima
7. Clatous Chama
8. Emmanuel Okwi
9. Juko Murshid

Baada ya mapumziko hayo, mnyama atarejea 21/10/2018 katika dimba la Taifa kupambana na Stand United.

Uongozi fanyeni mpango tupate mechi kadhaa za kirafiki za kimataifa katika kipindi hiki ili tupunguze machungu ya Ndala.
 
Kocha aangalia suala la finishing make kwenye play making tuko vizuri ila umaliziaji kdg ni changamoto.
Rejea mechi ya mbao mwadui na yanga
 
Tuko live na maisha aiseee simba nguvu moja 💪💪
 
Baada ya kuwahenyesha vilivyo Ndala 30-09-2018 ambapo zilipigwa pasi zaidi ya 2314 katika dimba la Taifa, mnyama mkali Simba SC ameingia mapumzikoni.

Mapumziko hayo yamekuja ili kupisha mechi za timu za Taifa. Katika kipindi hiki, wachezaji wafuatao wameitwa kuzitumikia timu zao za Taifa.
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Jonas Mkude
4. John Bocco
5. Meddie Kagere
6. Haruna Niyonzima
7. Clatous Chama
8. Emmanuel Okwi
9. Juko Murshid

Baada ya mapumziko hayo, mnyama atarejea 21/10/2018 katika dimba la Taifa kupambana na Stand United.

Uongozi fanyeni mpango tupate mechi kadhaa za kirafiki za kimataifa katika kipindi hiki ili tupunguze machungu ya Ndala.
Kaka umezinduka? Mwambie na kocha wenu aache kutoa mafunzo ya ubondia kwa wachezaji wenu.
 
Kaka umezinduka? Mwambie na kocha wenu aache kutoa mafunzo ya ubondia kwa wachezaji wenu.
Sawa Mkuu.. Nipo nae hapa, nitafikisha ombi lako.
 
Mapumziko mema club ya kimataifa Simba sports ambayo ikiomba mechi naBarca Sina presha
 
Mpira mzuri bila kufunga hauna maana wala faida...ndiyo maana Spain na kucheza kwao vizuri walitolewa kombe la dunia.

Wachezaji wajitahidi tunataka team ishinde
 
Mpira mzuri bila kufunga hauna maana wala faida...ndiyo maana Spain na kucheza kwao vizuri walitolewa kombe la dunia.

Wachezaji wajitahidi tunataka team ishinde

Mkuu naamini haya ni mapito tu. Na kwa lile soka tulilotandaza jana, naamini kuna siku mtu atapigwa si chini ya goli 7 (tulizowakosa Ndala).
 
Labda mcheze na Femeni(Timu ya wanawake ya Barcelona)maana hata La Masia wale watoto wa academy hamuwezi kuwafunga..
Mkuu kwa ile mipasi tuliyokua tunagonga jana, tuna tofauti gani na Barcelona unayoijua wewe?
 
Back
Top Bottom