sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Baada ya kuwahenyesha vilivyo Ndala 30-09-2018 ambapo zilipigwa pasi zaidi ya 2314 katika dimba la Taifa, mnyama mkali Simba SC ameingia mapumzikoni.
Mapumziko hayo yamekuja ili kupisha mechi za timu za Taifa. Katika kipindi hiki, wachezaji wafuatao wameitwa kuzitumikia timu zao za Taifa.
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Jonas Mkude
4. John Bocco
5. Meddie Kagere
6. Haruna Niyonzima
7. Clatous Chama
8. Emmanuel Okwi
9. Juko Murshid
Baada ya mapumziko hayo, mnyama atarejea 21/10/2018 katika dimba la Taifa kupambana na Stand United.
Uongozi fanyeni mpango tupate mechi kadhaa za kirafiki za kimataifa katika kipindi hiki ili tupunguze machungu ya Ndala.