mnyama kanguruma

mnyama kanguruma

MARUMA J

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
48
Reaction score
9
Ushindi walio upata Simba sc ni ushahidi kwamba wanaweza! jaman tuwaunge mkono bila kujali itikadi zetu za kitimu kwani inawakilisha taifa. With cofidence every thing is possible
 
ngapingapi? nashindwa kuiona ile "mnyama vs motema" iliyokuwako. aionekani na nikisechi napata msururu mreeeefu siwezi angalia zote. ikiwezekana viongozi wa jf wafanyie kazi ili iwe more user friendly,
 
Kaungurumia wapi huyo mnyama mbona hatujaisikia hiyo sautiii?
 
Back
Top Bottom