Ushindi walio upata Simba sc ni ushahidi kwamba wanaweza! jaman tuwaunge mkono bila kujali itikadi zetu za kitimu kwani inawakilisha taifa. With cofidence every thing is possible
ngapingapi? nashindwa kuiona ile "mnyama vs motema" iliyokuwako. aionekani na nikisechi napata msururu mreeeefu siwezi angalia zote. ikiwezekana viongozi wa jf wafanyie kazi ili iwe more user friendly,