Mnyarwanda or Mwarabu

Femur

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
290
Reaction score
194
Habari wana JF...

Moja ya ndoto zangu maishani ni either kuoa Mnyarwanda au Mwarabu. Hope ipo siku itatimia na Mungu ataweka mkono wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siri ni ya mtu mmoja... kuanzia wawili sio siri tena
 
Ila hawa warwanda madem zao wazur Sana na wanavutia Sana aiseeee Ila
Inahitaji uwe na shilingi na sio ya kuunga unga
 
Binti wa kinyarwanda kwa maumbo na sura wapo vizuri Ila tukirudi kwenye maumbile yao na tamaduni zao za kurefusha ki*mi Hadi urefu wa kifikia sm 12 kimewashinda wanaume wengi toka makabila mengine kuwaoa

Jipange kisaikolojia....


Kwa binti wa kiarabu wao Wana ubaguzi Kama damu yako itakuwa dominant zaidi yake na watoto watakaozaliwa wakafanana na wewe zaidi kuliko asili yake pia jiandae kisaikolojia kwa matokeo yatakayotokea

Kuna uwezekano akazaa na mwarabu mwenzake na ukaja kubambikiziwa mimba, jiandae pia kisaikolojia kumudu hali hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…