Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

Kuwa mbunge Tanzania unatakiwa ujuwe kusoma na kuandika tu..!! Hatareeeee..!!!
 
Mnyeti amefanyiwa Vetting huyu akawa
mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa
Mkoa akaibukia kwenve ubunge. Kabla
va hapo alikuwa mkuu wa Shule pale
Igokelo Sekondari kuanzia 2013 hadi
2016. Ukiniuliza ni maajabu gani alifanya
pale hadi akachaguliwa kuwa mkuu wa
wilaya au mkuu wa mkoa hakuna
mwenye jibu labda tuhisi ilikuwa ni
connection kazi
 
Huyu mtu anaitwa MNYETI ni hatari...

Naandika kwa kifupi...
Akiwa mkuu wa Mkoa nafikiri Manyara alileta hatari nyingi sana...

I) Alikuwa na mahusiano ya ndani sana na kiongozi mkuu

II)Aliwaweka matajiri wa Tanzaniate mfukoni.. Alihakikisha anayo gawio kubwa

III) Alichukua maslai yote ya vitalu vya uwindandi

IV) Alikuwa anachukua asilimia kubwa ya mavuno ya Tanzanite... Yaani jiwe likitoka anayo asilimia yake... Kiongozi mkuu alijua sana hii mission

V) Alianzisha Club ya Mpira... Nafikiri Lake Victoria Zone.. Na kujenga uwanja... Kwa PESA yake mfukoni

VI) Wafanyabiashara... Wa Arusha / Manyara wanamjua.... Jamaa aliwanyoosha sana... Kwa ufupi waende kwenye kampuni ya mabasi Mtei.... Nimeeleza kwa kifupi sana

Sishangai kwa maneno yake bungeni.... Huyu ALIPITA BILA KUPINGWA 2020.... Mgombea wa Upinzani nusura afe....
 
Pascal Mayala alipata madaraka gani?!
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata ile taasisi ya usalama aliyokuwa akitumikia alikuwa akitumikia hivi?
Ni aibu tu
 
Huyo Mnyeti ni watu wanaotakiwa kuondolewa kwenye mfumo mapema sana come 2025. Ni watu wa hovyo waokuwa wakibebwa na mwendazake sababu tu ya ukaribu naye. Hana tofauti na Sabaya, Makonda na Byanakwa aliyekuwa RC Mtwara
Byakanwa.
 
Sidhani kama wkt huo kulikuwa na vetting. Ilimradi unaendana na mkuu basi teuzi ilikuwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…