Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi


Ukiona hivyo ujue Mnyeti ni Mnyaruanda kama sponsor wake aliyeko kuzimu. Hakika dhalim kaacha matakataka mengi hapo mjengoni
 
Hutegemei kabisa, mtu mwenye akili timamu achilia mbali Mbunge anaweza kusema aliyoyasema
Ni sawa kwann wasijunge na jeshi lao ili wapiganie taifa lao badala ya kuja huku kula maisha wakati kwao kuna vita,Mfano Ukraine hawakuwa najeshi madhubuti ila wamejiunga unga tu na sasa wanawawashia moto Urusi!!!
Mnyeti amekosea ila sio sana mana yuko sahihi
 
Kaa kimya ufiche ujinga wako
 
Huyu ni mbunge mpuuzi ambaye kama wana misungwi wanajitambua wamfagie mapema kabisa uchaguzi ujao
 
Mnyeti huenda ni Simba MoKo.
Mfano wake na namna na kuwasilisha ukweli HAJUI.


Lakini UKWELI utabaki UKWELI upo wizi kwa jirani na jeshi lao ni dhaifu na corrupt na mfumo wao wote sasa kwanini hawa wasipewe Elimu wajitegemee tutapeleka majeshi hadi lini?
Kama imeshindikana hii nchi sisi EA tuigawane tu tuwatawale mambo yaishe.
Huwezi kuanzisha familia kwa kutegemea jirani. Na hili lunaigharimu Afrika kwa utegemezi kwenye bajeti zetu kila mwaka.
Haya sasa EU imesema tusinunue mbolea ya URUSI wala tusitengeneze. Tunaamuaje kama nchi za Afrika.
Heri ufe kama Shujaa, kuliko kuwa mtumwa unayelishwa kwa fedheha.
Povu ruksa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ni i tatizo kwa usalama wa nchi.
Ashughulikiwe kistaarabu.
 
Unazidi kujivua nguo

Wewe haujaelewa kwann nimesema kama ww sio chadema basi ni yanga....Namanisha ww ni chadema mana Watu wa chadema mnashupalia sana Mambo ya makosa wanayo fanya sisemu.
Wewe ni yanga kwa sababu amesemwa mayere aache kutumia nguvu kutetema akiwa anashangilia Gori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…