Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndugu Mnyika.
Nakusalimu
Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao.
Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake taarifa zinazotoka nyumbani kwa mzee Kibao siyo nzuri.
Hebu sasa njoo hadharani uwatangazie wana Chadema na Watanzania kilichomkuta mzee Kibao maana pale nyumbani kwake kuna msiba inatuogopesha sisi wanachadema kuwa huo msiba ni wa nani!
Mnyika kama usipoutangazia umma kuhusu hilo basi nina wasiwasi ukimya wako ukawasaidia watekaji zaidi.
Tunataka press conference nyingine ASAP juu ya hali ya mzee Kibao.