johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama tujuavyo Chadema iliweza kuimarika sana baada ya ujio wa mzee Lowassa na rafiki zake katika chama hicho.
Lakini mara baada ya mzee Lowassa kuamua kurejea CCM na kundi lake Chadema wameanza kudhoofu na amkani hali si shwari.
Ujio wa kiongozi kijana J J Mnyika kama katibu mkuu mpya inaweza kuwa neema kwa wanaufipa hasa ukitilia maanani Mnyika anavyoielewa Chadema.
Wito wangu ni kuwa Mnyika apewe zana zote zitakazomfanya aongoze kwa ufanisi uliotukuka, ikiwemo Usimamizi wa fedha za ruzuku na michango ya wabunge ya kila mwezi ya kukiwezesha chama. Mwenyekiti abakie kuwa msimamizi mkuu wa sera na muongoza vikao.
Nimtakie wajina JJ Mnyika uongozi wenye mafanikio.
Maendeleo hayana vyama!