Mnyika: Katiba ina makosa 90

Mnyika: Katiba ina makosa 90

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Gazeti la Mtanzania linatuhabarisha ya kuwa Mbunge wa Ubungo Mheshimiwa John Mnyika amedai yakua Katiba iliyopo ina makosa 90 yanayohitaji kusahihishwa.................

Mnyika: Katiba ina mapungufu 90

na Bakari Kimwanga

amka2.gif
HATIMAYE Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar e Salaam, John Mnyika (CHADEMA), amewasilisha taarifa ya hoja binafsi ya Katiba kwa Katibu wa Bunge na kueleza mapungufu 90 yaliyo katika Katiba ya sasa. Akiwasilisha hoja hiyo jana na kupokewa na Kaimu Katibu na Mkurugenzi wa Idara ya Taarifa za Bunge, Eliakim Mrema, kwa barua yenye kumbukumbu namba BJMT/01/2010 ambapo Mrema aliahidi kuifanyia kazi barua hiyo kwa mujibu wa kanuni za Bunge ya Mwaka 2007.
Akizungumza mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi ya kambi ya upinzani, Mnyika alisema Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Watanzania kwa kuwa ilitungwa katika mfumo wa chama kimoja.
"Nichukue fursa hii kueleza kwamba Katiba ya sasa inampa mamlaka makubwa mno Rais, pamoja na vyombo vya kiutendaji; hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuhoji hasa katika mfuno huu wa vyama vingi na Katiba hii imekuwa na matundu mengi ambayo yanakibeba chama kimoja waziwazi. Hakika mchakato huu ni wa Watanzania wote!" alisema Mnyika.
Alisema taarifa ya hoja binafsi aliyoiwasilisha ni kwa ya ajili ya Bunge kwenda kutimiza wajibu wa Kikatiba ambapo wabunge wana wajibu wa kuilinda kwa kutambua uwakilishi wao kwa wananchi waliowapa dhamana ya uwakilishi katika chombo hicho cha maamuzi.
Alisema hivi sasa taasisi za utendaji kama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Tume ya Maadili ya viongozi wa umma uteuzi wa watendaji wake uko chini ya Rais hivyo kushindwa kutoa mwanya wa kuhoji.
Alisema Katiba ni muhimu na ya haraka wakati huu ambapo tayari makundi mbalimbali ya kijamii yamejitokeza na kuweka misimamo yao wazi ya kutaka Katiba mpya na mengine kutangaza kuanza kuandika miswada ama rasimu ya Katiba husika

MP to seek people's views on law review
Monday, 27 December 2010 21:24

By Bernard Lugongo
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Ubungo MP John Mnyika (Chadema) intends to make public his draft of a private motion on the country's Constitution for people to provide views on its improvement.

He expressed his intention yesterday when he submitted a letter of information to the office of the Clerk of the National Assembly on his plan to table a private motion in the next Parliamentary session to be held in February.
The letter with reference number OMU/BJMT/01/2010 was received by the acting Clerk of the Assembly, Mr Eliakim Mrema. "As an institution we have received the letter and normal procedures will be followed," said Mr Mrema.

Regulation number 55 (1) of parliament requires an MP to inform the Clerk on plans to table a private motion at least a day before the start of the meeting.
But, Mr Mnyika said he decided to forward the letter one month before the parliamentary session to give room for public debate on the motion to be tabled.

After formally informing the Clerk as required by Parliamentary regulations, Mr Mnyika said during the first week of January the draft would be published in the media and its hard copy made available in his office.
"I need people to contribute their views on how they would want the motion to be because this is a public matter through a private motion," he said.
He explained that the forum would give the public an opportunity to point out shortcomings in the current Constitution and why they think there is a need for a new Constitution.
He said the public could send their opinions physically to his office or forward them to his email address: mbungeubungo@gmail.com or through phone number 0783552010. In addition, in the second week of January Mr Mnyika intends to hold an open forum for stakeholders to brainstorm on the draft of the motion.

So far, Mr Mnyika said, he had identified about 90 shortcomings in the current constitution.
"Imagine, out of 152 Sections of the current Constitution, I have discovered 90 shortcomings, but I need people also to express their concerns," he pointed out.
Following the existence of numerous weaknesses in the current constitution, Mr Mnyika said, the country would not want the amendment but a new document altogether.
Explaining some of the deficiencies, he said the current constitution gives the President excessive power of appointment without authorization.

"For a democratic nation like ours, the president should not perform such powers," he argued.
He also said the current constitution denies independence to government institutions as their top officials are appointed by the President. Among them are members of the Judiciary, National Electoral Commission as well as the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).
On the other hand, he continued, the change in the Zanzibar Constitution forces a review and rewriting of the Union Constitution.

His move of forwarding the private motion follows several concerns from his constituents who asked him to push for the matter.
It was also triggered by the recent pronouncement by Prime Minister Mizengo Pinda that he would advise President Jakaya Kikwete to form a team to consider demands for the new constitution.
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
 
Tunaomba John Mnyika atupatie hayo mapungufu 90 ili tuyajadili!
 
Short falls 90!!!.... Halafu mwanasheria mkuu anasema inahitaji marekebisho.....Wakati katiba imeoza kabisa hiyo!!.... We need new constitution bwana!!!!..
 
Short falls 90!!!.... Halafu mwanasheria mkuu anasema inahitaji marekebisho.....Wakati katiba imeoza kabisa hiyo!!.... We need new constitution bwana!!!!..
 
YAPI HAYO?....ameyataja?

ndio maana unatoa rushwa hovyo acha kihelehele taarifa imesema ataweka wazi barua hii next week sasa haraka ya nini? hatahivyo wewe kama mwanajf kwani huyafahamu mapungufu ndani ya katiba ya sasa? hairusu mgombea binafsi, inatoa kinga kwa rais mwizi na mla rushwa, inaweka nafasi zisizokuwa na tija mfano mkuu wa wilaya na naibu waziri, inapingana na katiba ya zanzibar, inaruhusu mikataba ya kiporaji mali ya umma kuwa siri, inawabeba mafisadi kwa tume kutangaza mtu wamtakaye kuwa Rais haya ni maachache tuu ndani ya hiyo barua
 
Haya ndio aliyotaja Mnyika au ni ya kwako?
 
Mnyika: Katiba ina mapungufu 90

na Bakari Kimwanga

amka2.gif
HATIMAYE Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar e Salaam, John Mnyika (CHADEMA), amewasilisha taarifa ya hoja binafsi ya Katiba kwa Katibu wa Bunge na kueleza mapungufu 90 yaliyo katika Katiba ya sasa. Akiwasilisha hoja hiyo jana na kupokewa na Kaimu Katibu na Mkurugenzi wa Idara ya Taarifa za Bunge, Eliakim Mrema, kwa barua yenye kumbukumbu namba BJMT/01/2010 ambapo Mrema aliahidi kuifanyia kazi barua hiyo kwa mujibu wa kanuni za Bunge ya Mwaka 2007.
Akizungumza mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi ya kambi ya upinzani, Mnyika alisema Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Watanzania kwa kuwa ilitungwa katika mfumo wa chama kimoja.
"Nichukue fursa hii kueleza kwamba Katiba ya sasa inampa mamlaka makubwa mno Rais, pamoja na vyombo vya kiutendaji; hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuhoji hasa katika mfuno huu wa vyama vingi na Katiba hii imekuwa na matundu mengi ambayo yanakibeba chama kimoja waziwazi. Hakika mchakato huu ni wa Watanzania wote!" alisema Mnyika.
Alisema taarifa ya hoja binafsi aliyoiwasilisha ni kwa ya ajili ya Bunge kwenda kutimiza wajibu wa Kikatiba ambapo wabunge wana wajibu wa kuilinda kwa kutambua uwakilishi wao kwa wananchi waliowapa dhamana ya uwakilishi katika chombo hicho cha maamuzi.
Alisema hivi sasa taasisi za utendaji kama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Tume ya Maadili ya viongozi wa umma uteuzi wa watendaji wake uko chini ya Rais hivyo kushindwa kutoa mwanya wa kuhoji.
Alisema Katiba ni muhimu na ya haraka wakati huu ambapo tayari makundi mbalimbali ya kijamii yamejitokeza na kuweka misimamo yao wazi ya kutaka Katiba mpya na mengine kutangaza kuanza kuandika miswada ama rasimu ya Katiba husika
 
Tunaisubiri kwa hamu sana sana rasimu ya chadema na ya cuf....tuzijadili na pia awatu wajifunzie hapo hapo kwenye makosa....ndio tutaijuaa katiba vizuri.....lengo watz wajenge tabia kujisomeaaa....sio kupiga kelele na kulalamikaa
 
since Ndugu mbunge we ni member wa JF please tumwagie hapa hayo mapungufu ili na sisi tuyakokotoe.... Please
 
Jumla ya vifungu vya katiba ni 152. Mapungufu ni kwenye vifungu 90. Kimahesabu 59% ya katiba inahitaji marekebisho.

Kumbe katiba inahitaji kufumuliwa upya. Na hiyo 59% ni aliyoona Mnyika tu.

Next week mtakapoijadili unaweza kukuta percentage inafika hata 59.
 
Nashangaa kuwa kaona makosa 90 tu! Wasomi wengine wataona zaidi ya 9000, kwa kaupeo kake kadogo alikokuwa nacho Mnyika kaona hayo tu aliyoyaona.

Maandishi ya kibinadam hayatosita kuwa na makosa.

"50,000 Errors In The Bible"

The title of an article that appeared in the Christian Awake magazine. Read it, they admit to errors in the Bible, but in the conclusion they'll maintain that it is still the authentic word of God.
 
kahubiri hayo huko huko kandahar na mwalimu wako Dr. Alzawahiri...... you are a Martyrdom and hate preacher.....
 
Back
Top Bottom