Ccm imeharibu sana nchi na Wananchi Kwa wizi, ufisadi na uroho wa madarakaHayo maridhiano wanayochekelea Chadema kila siku kuwa mazuri ni matunda ya maxumguzo ya vyama vya siasa kwenye kamati ambamo wako akina Zitto Kabwe
Wanamgomea mwenyekiti wa kikao badala ya hoja
Hoja katiba mpya wao wanaongelea Mutungi.wasivyokuwa na akili kichwani
Umetoa mawazo ya kujenga, Mungu akubariki..Raisi afanye mabadiliko ktk nafasi ya Msajili na Naibu Msajili wa vyama vya siasa.
..Msajili aliyepo alishiriki ktk kukandamiza na kuvuruga demokrasia wakati wa utawala wa awamu ya 5.
..Raisi ateue Msajili mwingine ambaye atarejesha imani ya wadau wa siasa kwa Ofisi ya Msajili wa vyama.
Nyuki mmoja aweza kuzidi maelfu ya nziMbona hawatafanikiwa akina Chadema.Kama vyama vingine vyote vya siasa vitashiriki kuunda katiba mpya na kushiriki uchaguzi mkuu,chama kimoja hakitafua dafu katika kutuchonganisha kwa jumuiya ya kimataifa.
Hii Katiba Mpya inayosimamiwa na kuendeshwa na serikali ya chama kimoja ni upuuzi mtupu.Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Wewe nawe unatoa hoja kana kwamba siyo GT anayefikiri vyema..Mnyika na Lissu nawaonea huruma 🤣🤣🤣
Ni watu wenye integrity ya hali ya juu sana, lakini tatizo liko pale juu.
Ngoja tusikie mwanyekiti atasemaje, maana ni kama Mnyika kafanya 'preemptive strike' dhidi ya mwenyekiti.
😳😳 Ati amepokea Barua! Mbona jambo hili limefahamika tokea Mkuu wa nchi kutoa maagizo hayo? Ina maana alitegemea kupata mwaliko rasmi. Haijalishi......Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
....ati sasa bado wanaendelea kumtafuta mchawi wao?? CHADEMA wamekuwa wasusaji wa karibia Michakato mingi yenye mustakabhali wa Nchi kwa sababu ya Kutokuafikiana kichama baina yao.(na uharakati)....Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Nadhani ilikuwa busara kuhudhuria kuliko kususa, kwani mkihudhuria mtatoa maoni yenu na kusikilizwa au hata kuchangia maoni ya wadau wengineKatibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Mnyika na Lissu nawaonea huruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni watu wenye integrity ya hali ya juu sana, lakini tatizo liko pale juu.
Ngoja tusikie mwanyekiti atasemaje, maana ni kama Mnyika kafanya 'preemptive strike' dhidi ya mwenyekiti.
Kama nani?Anaratibu mchakato
Kikao haramu unahudhuriaje? Hakipo kisheria.Nadhani ilikuwa busara kuhudhuria kuliko kususa, kwani mkihudhuria mtatoa maoni yenu na kusikilizwa au hata kuchangia maoni ya wadau wengine
Rais apeleke muswada bungeni kufufua mchakato wa KATIBA mpya.Kuna usemi usemao "kubali wito kataa neno".
Inawezekana kabisa shetani akawa kabeba ujumbe mzuri toka kwa roho mtakatifu.
Sisi CHAUMA tunaenda na tutakaa siti za mbele. CHADEMA wanajiona spesho sana na wanataka kudekezwa kama Demu wa Chuo. Huo muda hatuna.Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Kubadilisha personality sio tatizo, hilo ni jambo la kawaida tu tena hasa kwa awamu hii ya Samia, kila siku anateua wapya...Raisi afanye mabadiliko ktk nafasi ya Msajili na Naibu Msajili wa vyama vya siasa.
..Msajili aliyepo alishiriki ktk kukandamiza na kuvuruga demokrasia wakati wa utawala wa awamu ya 5.
..Raisi ateue Msajili mwingine ambaye atarejesha imani ya wadau wa siasa kwa Ofisi ya Msajili wa vyama.
Hapo anayegomewa ni Mbowe siyo Jaji MutungiHawa Chadema siku hizi naona wana mambo mengi ya ajabu ajabu tu, kule Mbowe yupo kwenye maridhiano, huku Mnyika anasema wamegomea wito, sasa kwanini hilo dai lao wasingempa Mbowe akaliwasilishe kwenye maridhiano lifanyiwe kazi?
Kama wanaona maridhiano hayana maana, wajitoe huko, lakini sio hivi sasa kila mmoja ana uelekeo wake, wengine kulia wengine kushoto, wafuasi nao wanaita hiyo ndio akili kubwa, kumbe kwa mtazamo wetu hata machizi nao wanaweza kuwa na akili kubwa!.
Muhimu hapa watambue jambo moja, kugoma kwasababu ya uwepo wa mtu hakuna maana yoyote, very likely anaweza kuteuliwa mwingine na Samia halafu naye akaja na mentality ile ile ya Mutungi, hivyo work done ya Chadema kumgomea Mutungi ikawa zero.
Hawa jamaa nawashauri watulize vichwa vyao watumie akili kuamua mambo yao, kugomea kila kitu wakati mwingine ni kujichelewesha mwenyewe kuwasilisha hoja/ madai yako sehemu husika ili yafanyiwe kazi.
Kwani wasipokwenda chadema inapunguza nini. Chadema imebaki jina tu. Wao la msingi ni kuhakikisha kuna migogoro ila sio kuitatua.Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji, Wanasiasa nk katika maandalizi ya kuandaa Katiba Mpya
Mnyika amesema CHADEMA hawamwamini Jaji Mutungi kwa sababu ndiye Kiini cha Kupandikiza Migogoro hivyo hawatahudhuria Mkutano huo
Source: Mwanahalisi Digital
Umejiunga hapa jukwaani mwishoni mwa mwaka jana, hiyo 2014 ulidai katiba mpya kupitia ID ipi?Tangu 2014, bila shaka wewe kipindi hicho ulikuwa hujawaza ata kuchumbiwaa