Yustas Kisaka
Member
- Feb 10, 2017
- 24
- 25
Ushamba mzigo namba ya simu ya nini?
Chadema inawanyima usingizi atiiii!
Sasa kama tumeimegoma kuiweka hadhalaniii, kwa nini chadema isichukue jukumu la kwenda mahakamani kuomba ushahidi huo?Kwa nini hiyo barua ya Mnyika aliyopeleka Tume haiwekwi hadharani?
Hilo lingeepusha Spika wa Bunge kukejeliwa kama ilivyo sasa na kupoteza heshima ya Bunge.
Tupunguze hadithi za kutunga
Mpaka mtu anachomolewa maabusu usiku na kuapishwa asubuhi. Mahakamani hakuasaidia chochote. C19 waliteuliwa na CCM kwa maslahi yao.Sasa kama tumeimegoma kuiweka hadhalaniii, kwa nini chadema isichukue jukumu la kwenda mahakamani kuomba ushahidi huo??
Umesoma barua za Chadema kwenda kwa Speaker? Umesoma barua ya kwenda time au unahorojeka tu?TUME ya UCHAGUZI walipokea majina kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Mnyika kama sheria inavyotaka. Tatizo ni Mnyika alipogombezwa na akina Mbowe na John Mrema kuwa katika majina yale hakuna watu wao, ndipo aliamua kuwageuka akina HALIMA Mdee ili aweze kujikosha kwa akina Mbowe
Huyu kaamka kabanwa na mkojo anatusumbua hapaAkili matope hata huwezi kufikiri kwa kutumia kichwa yako maana umejaa uwenda wazimu
Kwahiyo mumeona mahakama haifai kuwapa haki. Sasa hao vikongwe wamama bawacha wanaohangaika na ndugai watawaletea mwalobaini wa hilo tatizo huku viongozi wanaume wa chama wamestarehee??? Achani kutudanganyaMpaka mtu anachomolewa maabusu usiku na kuapishwa asubuhi. Mahakamani hakuasaidia chochote. C19 waliteuliwa na CCM kwa maslahi yao.
Mshauri Mnyika aende mahakamani au aite BARAZA KUU ukiona hafanyi hivyo jua anacheza na akili yako.Wewe ni tume ya uchaguzi?
Kama sio tume umejuaje kuwa Mnyika ndio kapeleka majina?
Siku nyingine usiweke namba ya simu pekee bali weka na akaunti namba kabisa
Thank youHii kwenye taaluma yetu ya ujasusi tunaita fake news na disinformation,watu kama nyie ni spindoctors tu,mnajaribu kuweka mashaka kwa wananchi Ili waione Chadema haifahi...
Akijibu tujulishe... Mkuu Erythrocyte kwenye uzi fulani alihoji hivi ni kwanini verified members wengi wa JF mara nyingi huanzisha threads "takataka"; this is another proof!
Nikuulize swali moja tu; je, ni Mnyika na Chadema walioenda kumtoa Nustrat Henje gerezani usiku na muda mfupi baadaye akaapishwa kuwa mbunge? Ujinga ni mzigo kweli kweli!