johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akijibu maswali ya Wakatoliki wenzake waliohoji kwanini alimlaumu sana Mchengerwa alipokata majina ya wagombea wa Chadema Kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ilhali yeye mwenyewe anaitenda dhambi ile ile Kwa kuwakata akina Rose Mayemba, Twaha Mwaipaya, askofu Mwanamapinduzi nk Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema
"Najitahidi katika Udhambi na Ubinadamu wangu kuyaishi maneno ya mtakatifu Thomas More "Man Can not be Separated from God nor Politics from Morality"
Mnyika amejibu Ukurasani kwake X ila anashambuliwa Mno
Nitampiga Mchungaji na Kondoo wa Kundi lake watatawanyika 🐼
Ahsanteni sana