B Brandon JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 336 Reaction score 5 Nov 2, 2010 #1 At last katangazw. Nilishindwa hata kula kwa kudhani watayachakachua. God is great all the time. Congs bro. Viva pipoz power
At last katangazw. Nilishindwa hata kula kwa kudhani watayachakachua. God is great all the time. Congs bro. Viva pipoz power
Mhache JF-Expert Member Joined Jun 20, 2008 Posts 345 Reaction score 25 Nov 2, 2010 #2 Mnyika kushinda kupitia upinzani ni fundisho kwa chama tawala. Chama tawala kijifunze kuwa hii nchi sio ya CCM tu. Inabidi rushwa ipingwe kwa juhudi zote na wanaokamatwa kwa rushwa wachukuliwe sheria stahili, na sio kulindana.
Mnyika kushinda kupitia upinzani ni fundisho kwa chama tawala. Chama tawala kijifunze kuwa hii nchi sio ya CCM tu. Inabidi rushwa ipingwe kwa juhudi zote na wanaokamatwa kwa rushwa wachukuliwe sheria stahili, na sio kulindana.
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Nov 2, 2010 #3 Mh! Hili ni Jukwaa na Malavi Davi lakini au ndiyo Mambo ya Kumdondokea?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Nov 2, 2010 #4 Dk. Ndege ya Uchumi said: Mh! Hili ni Jukwaa na Malavi Davi lakini au ndiyo Mambo ya Kumdondokea? Click to expand... HAHAHAH NDEGE YA UCHUMI WEE ACHA TU HII NI FURAHA NDEREMO NA VIFICHO NDO MAAANA WATU WANABANDIKA MABANDIKO POPOTE:hippie:
Dk. Ndege ya Uchumi said: Mh! Hili ni Jukwaa na Malavi Davi lakini au ndiyo Mambo ya Kumdondokea? Click to expand... HAHAHAH NDEGE YA UCHUMI WEE ACHA TU HII NI FURAHA NDEREMO NA VIFICHO NDO MAAANA WATU WANABANDIKA MABANDIKO POPOTE:hippie: