johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuoneMawakala wenu tu 2020 walinunuliwa karibia wote kwenye majimbo mliyosema ndo ngome zenu, unadhani kuna mwananchi gani ataenda kulinda kura za Chadema, Uongo tu wa wanasiasa, wanatafuta gear ya kusema public opinion ndo imefanya washiriki uchaguzi, haha
Wawakilishi wa vyama ndiyo kazi yao, wengine baada ya kupiga kura rudi nyumbani, usubirie matokeo!Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua
Source: Jambo TV
Wako tayari kufa kwa utitiri? Maana CCM wataua kama walivyozoea.........Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua
Source: Jambo TV
Wewe tayari huwezi kulinda kura!Wako tayari kufa kwa utitiri? Maana CCM wataua kama walivyozoea.........
Naweza, na lazima uwe tayari kufa. Kufa, kufa, kufa au uwe na mabomu na wewe wakirusha na wewe unarusha, short of that ni ngumu maana tunaogopa kufa. Tukiwa kama wakenye, then tutazilinda kura.Wewe tayari huwezi kulinda kura!
amepigaje apo πKatibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa kusikiliza wananchi kwenye mikutano ya operesheni +255 Katiba mpya na kwenye mikutano ya hadhara, nimepata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kwenye maandamano hata kwenye maisha ya kawaida wananchi wanatuambia iwe mvua, iwe jua pamoja na kudai marekebisho katika uchaguzi lakini jiandaeni kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 na hawa ni wananchi mitaani, vijijini walioporwa haki yao ya uchaguzi wanatuambia jamani eeh safari hii msisusie shirikini uchaguzi" -John Mnyika
Source: Jambo TV
acha upotoshaji πKinachotekea wasimamizi wote wale yaani.
1. Msimamizi mkuu.
2. Msimamizi msaidizi namba moja.
3 msimamizi msaidizi mamba mbili.
4. Karani muongoza wapiga kura
Wapewa maelekezo na mkurugenzi kivyovyote akuna mpinzani kupita.
Wanahusika kwenye kupiga kura zaidi ya mia mia kwenye vituo, wanatumbukiza kwenye balloon box.
Wanawafanyia fitina mawakala wa upinzani waonekane awajatimiza vigezo vya kusimamia kura za wagombea wao hivyo lango linakuwa wazi kwa wizi.
Nishawai kushuhudia kura zinapigwa upya usiku kituo Fulani hivi yameletwa mabox mapya na karatasi mpya, wasimamizi wanashilikiana kukocpy namba za I'd ya vitambulisho vya wapiga kura zilizopigiwa upinzani na kupiga upya kura kupigia ccm.
Upinzani mjipange Sana jamaa wanambinu chafu Sana ,
saizi wapo wanadiscuss sehemu zenye shida upande wao wanajipanga wagombea wa upinzani pindi wanaporudisha fomu wawapore njiani kabla azijafika Kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Wameplan waanze na uchaguzi wa serikali za mitaa
Shauri Yako ninauzoefu wa kuwa msimamizi namba mbili wa uchaguzi najua A to zacha upotoshaji π
uchaguzi siku zote ni huru, wa wazi na wa haki ispokua kama umelenga kuchonganisha na kuleta fujo π
hata hivyo utadhibitiwa vizuri sana mapema mno π
mzoefu wakuibiwa kura πShauri Yako ninauzoefu wa kuwa msimamizi namba mbili wa uchaguzi najua A to z
Point nyepesi SanaHawana ubavu wa kususa. Wasuse ili iweje?Watatafuta visingizio na wakishiriki watagaragazwa vibaya.Mnyika kaona aseme ukweli hawana ubavu wa kususa.
TindoKatibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa kusikiliza wananchi kwenye mikutano ya operesheni +255 Katiba mpya na kwenye mikutano ya hadhara, nimepata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kwenye maandamano hata kwenye maisha ya kawaida wananchi wanatuambia iwe mvua, iwe jua pamoja na kudai marekebisho katika uchaguzi lakini jiandaeni kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 na hawa ni wananchi mitaani, vijijini walioporwa haki yao ya uchaguzi wanatuambia jamani eeh safari hii msisusie shirikini uchaguzi" -John Mnyika
Source: Jambo TV
Leta yako nzito. Mlikuwa mnapima upepo?. Mkishiriki au msiposihiriki haibadilishi lolote.Point nyepesi Sana
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Taifa la marehemuTz hatuna upinzani