Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kawaulize Time kwa nini wanawafanyia mtimanyongo wagombea wa Chadema?Mbona yule mgombea ubunge wa ACT wazalendo kashinda rufaa juzi na jana amepewa barua yake na msimamizi wa jimbo la Singida magharibi!!
Tunajua huu ndiyo utekelezaji wa uharamia wa kisiasa wa kwenda kujaza vilaza wa CCM Bungeni ili wakabadili Katiba kumwezesha mwenyekiti wao kuwa Rais wa maisha.NEC acheni kushirikiana na CCM...hizo rufaa mnakaa nazo za nini?
Tume ikishakutangaza wewe anza kampeni barua itakukuta mkutanoni!Kawaulize Time kwa nini wanawafanyia mtimanyongo wagombea wa Chadema?
Wanachokitafuta watakipata , Liwalo na LiweThat evil man over there is a problem,a very big problem indeed!