johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama