johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unataka picha ya Ufipa au ya Mnyika?!uongo mtupu unakuja hapa bila picha tukuamini tu kirahisi pumbaaaaaaaaavuaaaaaaaaaaaaa
Unataka picha ya Ufipa au ya Mnyika?!
hayo majengo hewa tuyaone ukute kama la zamani tuUnataka picha ya Ufipa au ya Mnyika?!
mashetani kaziniuongo mtupu unakuja hapa bila picha tukuamini tu kirahisi pumbaaaaaaaaavuaaaaaaaaaaaaa
Reply zako kwenye mjadala zitaonesha rangi zako halisi JoKatibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama
Bila kuweka mbwembwe unatuonyesha siyo Chadema.Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama
UmeumiaKatibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama
Jengo lingine kubwa kwani hili la sasa la vyumba vinne ni kubwa?Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama
Watakuwa wamenunua kwa pesaWamenunua kwa kikao gani au wamepewa bure
Nimefurahi bwashee!Umeumia
Kwani yale ya serikali mliyonayo ilikuwaje?Wamenunua kwa kikao gani au wamepewa bure
Ndege zilinunuliwa kwa kikao gani cha bunge au zilitolewa bure?Wamenunua kwa kikao gani au wamepewa bure
baada ya miaka 24 ya uenyekiti wa mwamba hatimae, kama kweli lakini hongera zenu.Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama mrejesho wa uzi wangu baada ya kutembelea Ufipa na kujionea maendeleo yao japo amejibia twitani.
Hongereni sana mjenge na ukumbi wa mikutano sasa.
Maendeleo hayana vyama
Unataka picha ya Ufipa au ya Mnyika?!
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.