MNYIKA vs Chongolo

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Hawa ni makatibu wakubwa wa vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini,Hawa ni wabeba maono na wasimamizi wakuu wa mwendo wote wa kisiasa ndani ya vyama vyao.

Tangu wateuliwa ni kama wamepigwa ganzi,speed yao ni mwendo wa kobe.

Il nimewaza tu,kweli hizi nafasi wamepewa KWA uwezo wa kuzitumikia au kuwekwa kivuli tu?
 
Hivi kumnanga Chongolo tu unahitaji kuzunguka namna hii?
 
mnyika habweki tena tangu aambiwe na mdee alikuja chadema na ndala kaishiwa pozi kabisa
 
Hapo labda unamsema Chongolo Ila sio Mnyika aisee huyo jamaa yupo vizuri mno sema wapo kwenye nchi inayoongozwa gizani, lakini ingekuwa ni nchi inayoongozwa mchana kweupe na wenye akili basi ungeelewa kuwa Mnyika ni bonge la kiongozi Chadema haijawahi kosea ila sema Basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…