Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kwa Kanda ya Ziwa Rais Samia umeweka historia

Akili yako imekaa kichawa nyie ndiye wale kila kitu Mama,mama wewe tuambie Samia alichokiasisi ni nini zaidi ya kuuwa watanganyika
 
Acheni wivu wenu hapa ninyi. Kubalini tu kuwa Mama kafanya Mambo Makubwa ambayo yalishindikana hata kipindi cha Hayati Mwalimu Nyerere
 
SSH anafanya kazi hasubirii maneno mengi

View: https://www.threads.com/@ellyscom/post/DUw_cEZDJlN?xmt=AQF0U_YIKDzSXi_XebhI80pBBGY72Sx3kMicv-PcNpsR6xZR7ooWZ-g-4lZ6wV455XvT1wM5&slof=1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…