Umeshatoka!Habari wana jukwaa,
naomba kusaidiwa juu ya hili,kuna mtoto wa miaka miwili,muda mwingi alikuwa anakabiliwa na tatizo la tumbo la kuharisha na pia linakuwa kubwa sana.
Juzi akapelekwa Hospitali na akapewa dawa ya minyoo.
Sasa usiku huu kuna mnyoo wenye urefu kama wa sentimita kadhaa umejitokeza kwenye njia yake ya haja kubwa,ni round kwa umbo umetokea kama sentimita 9 hivi,sasa nahofia kuutoa kwa mkono nisije kumsababishia matatizo.Wataalamu wa afya naomba maelekezo juu ya nini kifanyike.
Asante
Uko sawa kweli. Unaacha kumsaidia unaleta upuuzi huku. Kweli kua uyaone Ila sio magorofa. Umezaa au umezalishwa..Habari wana jukwaa,
naomba kusaidiwa juu ya hili,kuna mtoto wa miaka miwili,muda mwingi alikuwa anakabiliwa na tatizo la tumbo la kuharisha na pia linakuwa kubwa sana.
Juzi akapelekwa Hospitali na akapewa dawa ya minyoo.
Sasa usiku huu kuna mnyoo wenye urefu kama wa sentimita kadhaa umejitokeza kwenye njia yake ya haja kubwa,ni round kwa umbo umetokea kama sentimita 9 hivi,sasa nahofia kuutoa kwa mkono nisije kumsababishia matatizo.Wataalamu wa afya naomba maelekezo juu ya nini kifanyike.
Asante
Duh!huyo mtoto siyo wangu,bali ni wa dada yangu
Mtoto wa dada yako ni wako hivyo mpe upendo unao stahili bila ubaguzihuyo mtoto siyo wangu,bali ni wa dada yangu