Mnyoosho tu huu, pigeni pasi kama itabaki na mikunjo

Hivi mziki mzuri ni lazima uwe unamiliki studio,vyombo vya music na ofisi ?!!! Kweli akili ni nywele
 
kwenye dunia hii hakuna jipya chini ya jua.au ww masanja haukumckia?mbona km hivyo diamond kila ktu amepest au dangote haujajua kuwa amekopi?
mbona kwa lil Wayne ni mpya yeye hajacopy popote, tabia ya kudandia-dandia vya watu kuna siku watajikuta wamedandia bamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…