MNYUKANO UNAENDELEA KATI YA PRIVADINHO VS WILSON ORUMA,KUNA MTU KAPIGWA NDOIGE HUKU

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
[emoji95]𝗒π—₯𝗨𝗠𝗔: 𝗣π—₯π—œπ—©π—”π—Ÿπ——π—œπ—‘π—›π—’ π—‘π—œ π—¦π—œπ— π—•π—”

"...Abiudi Shayo aka @privaldinho Jana (juzi) umenipiga Sanaaaa.

Nimepata simu nyingi sana watu wakaniuliza huyu si ndo wewe ulibaki nae peke yako kumtetea wakati Mashabiki wa Yanga wakimkataa wakisema ni SIMBA SPORTS?

Nikawaambia nikweli na hivyo Mimi ndo nilivyo kwa watu Wangu.Kwa yyte ambaye ni Mwanangu anaweza kushuhudia Hilo.

So nikawaambia hivyo ndo nilivyo kwa Wanangu wote.Kama wewe ni Mwanangu will defend you always

Yani naweza kufahamu Kila kitu kuhusu wewe.Kama ambavyo nilikuwa nafahamu kwamba Abiudi Shayo ni SIMBA SPORTS

Lakini bado nikakutetea,nikasimama na wewe.Na nafikiri hivyo ndo WANAUME wote tulivyo au mnasemaje ndugu zangu?

Wanaume huwa tunateteana.Tunalindana siku zote.Ingawa kama UNAVULIWA UBINGWA hili litakuwa gumu kidogo kwako.

Ni sawa Lengai ole nasha amekusadia Kupata Kazi,Lakini ndo akugueze uwe adui Yangu? Je akikwambia na wwe uanze kuvuliwa ubingwa kama yeye utakataa??

Halafu Insanity kuliko yote ni pale ulipoanza kuhoji Knowledge yangu kwenye Football.Yani wewe mshika CHETEZO unahoji understanding yangu Mimi ya FOOTBALL?

How dare you?

Nitarejea Baadae kidogo"

[emoji361] Wilson Oruma
 
Alianza priva kurusha dongo akimsadia Ashura cheupe


Kwani bro @wilsonorumatz_ akili uliacha wapi? Halafu Karia akiuliza mmesomea wapi uchambuzi sukari zinapanda mnatoka na mapanga? Ndugu zako nimeona wanatoa pongezi huku sukari imeshuka mara ooh hii ndio Yanga ya ligi kuu, mara ooh marefa wetu ndio wanafanya Yanga isifanikiwe kimataifa.. huwa kabla hamjaandika mnaifikiriaga kesho kweli au ndio mnajipa umwinyi kuwa mnaloamua ndio?

Jamii ya wapenda mpira inawategemea kuweni na heshima football.
 
Hii title ya wasemaji WA timu imegeuka.."mchambaji wa Timu"...halafu jinsia ni ya kiume...
 
Sisi wala mihogo hapa tandale tunajua wew ni simba damu ila njaa yako ndo inakufanya usifie wanaume wenzio mpo wawili hapa yanga wew na mzungu poli rudini kwenye timu yenu ya simba wanafki tunavotembeza bakuli mlikua wapi? Eti leo mnajifanya mnaijua yanga kuliko sisi pumbavu zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…