Mnyukano waibuka kuhusu dini moja kuchukua nafasi ya mbele Ikulu ya Kenya

Mnyukano waibuka kuhusu dini moja kuchukua nafasi ya mbele Ikulu ya Kenya

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Punde tu baada ya Rais mpya wa Kenya bwana Ruto na mke wake Rachel kuinga Ikulu kumeonekana mfululizo wa viongozi wengi wa dini(hasa ya Ukristo) wakimiminika katika Ikulu hiyo hali ambayo imezua majibishano kutoka pande mbalimbali za Kenya.
20220916_160830.jpg
20220916_160738.jpg
20220916_160809.jpg
20220916_160435.jpg
 
Shetani hata viongozi wacha Mungu. Ruto nyumbani kwake sasa ni Ikulu ya Kenya.
 
Punde tu baada ya Rais mpya wa Kenya bwana Ruto na mke wake Rachel kuinga Ikulu kumeonekana mfululizo wa viongozi wengi wa dini(hasa ya Ukristo) wakimiminika katika Ikulu hiyo hali ambayo imezua majibishano kutoka pande mbalimbali za Kenya.
View attachment 2358789View attachment 2358790View attachment 2358792View attachment 2358793
Kwa wabongo tuanzie Zenj kwanza,kule mpaka serikali inatenga pesa ya umma kupereka waislam kuhiji Maka!!ukikutwa una kula wakati wa mfungo,ni kosa la jinai,wakati wa mfungo,ni Swala la kiserikali linasimamiwa na mamlaka za kipolisi kabisa!!mkristo Hana uhuru kabisa wakati wa mwezi wa ramadhani,
 
Punguzeni ulalamishi Kenyatta alikua na bar ndani huyu wanahudhuria waliomwombea enzi na kabla yakampeni mnaaza kulalama
 
Back
Top Bottom