Mo afukuzwe uanachama wa Simba SC

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
These is to much! kwa mwekezaji wa Aina hi kila wakat kuwatisha watu as if kwamba bila yeye Simba haitofika mbali ,huu Ni ujinga na upumbafu kuendelea kumbembeleza moo na kumuona mungu mtu ,kila kukicha anatoa maneno yenye utata na yanaweza kuadhiri mipango na maendeleo ya club .

Simba sc waigeni yanga jinsi inavyo endeshwa timu Ina wadhamini wa maana sport pesa tu yenyewe na heir inaipa yanga pesa ndefu Bado za Azam, GSM mbona yanga wanasonga bila maneno kutoka kwa mdhamini wake mkuu.

Moo aondeshwe simba sc Mara moja Ni waekezaji wengi wanaitaka hii club Ni ujinga kuendelea kumbembeleza Mo.

Mara nimechoka Mara neema inakuja Mara napata hasara Mara ningenunua ndege yangu binafs Kama hapati kitu s aachie wengine waje.

Nawaza tu Hawa wafanyakazi walio ajiriwa katk kampuni na viwanda vyake Hapa Hali zao za uchumi iko vipi?

Kam tajiri mwenywe ndio huu.
 
WENYE AKILI tulimkataa KITAMBO. Zz

Hata BILIONI 20 Hadi Leo hajatoa.

Huu usajili ni BILIONI 5 ZA SUPER CUP.
BILIONI 2 CAFCL.
MBET.
SANDALAND NK....

SIMBA INA ALMOST 10 BILION
ASITUSUMBUE HUYO MTU.
 
Nasikitishwa na wadau wa Simba Kumtetea Gabachori,uwizi wake uko dhahiri kabixa,mambo mengi ni Siri,ukiuliza bil 20 anakuwa mkali,matangazo ameweka kwa jezi kwa mkataba ambao haueleweki,binafsi siwezi kuvaa jezi ya Simba yenye matangazo ambayo hayaeleweki,siwezi kuwa sehemu ya upuuzi,Gabachori must go
 
Kumfukuza Mo Kwa Sasa kutazisha taharuki mpaka timu itapoteana. Matajiri wanajua fitina Sana, mkijaribu ghafla mtakutana na figisu zake mpaka wachezaji mtawachukia.
 
Aondeshwe haraka
 
Badala ya kufikiria kumfukuza uanachama mimi nadhani mngejitahidi muwezavyo kumridhisha Muhindi.
 
Tena atupiwe kabisa na vilago vyake nje![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gabachori ni DP WORLD tuu
 
inshort tajiri anapenda kutrend once akikaa kipindi kirefu bila kuzungumziwa analipua kitu but siyo sahihi sana kuexpose mambo yake twitter why anashindwa kuongea na wahusika pamoja na viongozi wa club kuwa nini tatizo instead ya kuja twitter kulialia kila wakati

anapenda kukaangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…