Mo afukuzwe uanachama wa Simba SC

Sisi wengine yetu macho tu. Masikio ya kusikia, na pua ya kunusia tunawaachia wenye timu yao.
 
Ndio maana anapenda sna kumsumbua na manaar Ni kwamab anapenda HV vitu
Nilivyoona umeweka hio picha dp na huu utumbo ilioandika hapa! Moja kwa moja nikajua wewe ni topolo huna uelewa wowote! Maana uko kwenu wenye akili ni wawili tu!
Akili tu ya kudadavua mambo huwezi!! nyie ndio mna ishushia heshima JF

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Mo aondoshwe haraka sna
 
Baba mkubwa Ni HV nataka mo aondoke jamaa wapoteane Tena msimu huu[emoji3]

These is my idea behind
Na kwa namna mambo yanakoelekea, watapoteana tu.

Maana mpaka muda huu wamefanya usajili wa washambuliaji tu! Halafu kule nyuma, mlango wameacha wazi eti! 😃 Yaani wakina Mayele watakuwa wanajipigia tu hat trick msimu utakapoanza. Hakuna cha kambi ya Uturuki, wala Dubai..
 
Jamaa wamepaniki sna wnaatamani kumzaba mo makofi
 
Kuna mtu kaandika namnukuu tu hakika tena.

"Kwanza Kabisa naandika haya nikiwa nafahamu hakuna mafanikio ya Simba Sports Bila Mohamed Dewji MO Mtu yoyote anakwambia tofauti na hivi mpuuze Kwasababu wote hapa tunafahamu ni wapi Mohamed Dewji MO ameitoa Simba Sports.

Juzi tunasheherekea Simba Sports kuwa kwenye nafasi ya 7 kwa Ubora Barani Africa.
Hatua hii imefikiwa Kwasababu ya Uthabiti wa mnyama Simba sports Ndani na nje ya Mipaka ya Tanzania Hakuna Kitu kingewezekana hapa Bila uwekezaji wa hali na Mali ya Mohamed Dewji MO.

Lakini ni kwa Masikitiko Makubwa yeye Mwenyewe ndo amenifikisha hapa. Amenifikisha kwenye hatua ya Kuwaza yeye pia ni sehemu ya watu wanaokwamisha Mchakato wa Mabadiliko Simba Sports.

Kwanini? Kwasababu MO anafahamu Mchakato wa Mabadiliko wa Simba SC umekwamia RITA.Hatua zote umuhimu wamezivuka Ikiwemo Ikiwemo kule Kwenye Fair Competition (FCC), BRELA na Kwingineko.
Mchakato wa RITA ni Kuhuisha Mali kutoka SIMBA SC Kwenda SIMBA SPORTS CLUB LIMITED.Simba walihitajika Kupeleka watu kwenye bodi ya wadhamini Kwa uhakiki walifanya.Kujua Assets na Liabilities tayari.
Kulihitajika pia idadi ya Wanachama ambao wamekutwa na Mchakato wa Mabadiliko Kwa nafasi ya MO ana uwezo wa kufanya cross checking na watu wa Rita Kuwauliza huu Mchakato upo hapo kwa Muda mrefu sasa tatizo nini?
Ana uwezo wa kufikia hata hao mabosi wa Rita Ikibidi.Kwanini hafanyi hivyo unakuja kuleta taharuki na Sentesi mbili za Twitter?

Simba Sports ipo kwenye kipindi Muhimu Cha Maandalizi ya msimu baada ya kuwa na misimu hii miwili mibovu. Kulikuwa na haja Kweli ya Twiti ya aina hii ambayo inaleta taharuki?
Au Bosi na wewe Umemisi Kuongelewa?
Tajiri unataka Ku Trend Baba?
Na tumkumbushe Mo Dewji Kwamba huu Mchakato ukishamalizika Rita unarejea kwake.
Anatakiwa Kutoa jina lake kwenye Ile Bond ya 20B likae jina la Simba Sports pale.
Sasa hivi ni kama Ile 20B ni ya Kwake tu ingawa anatoa gawio la 1.7B kwa Mwaka Na get me Wrong hapa .Sisemi Kwamba MO Dewji hana hoja .Hoja anayo.
Shida nafikiri ni timing na hajaitoa Kupita Platform Sahihi.
Yani Kama yeye analalamika na Mgalilaya afanye nini?
Agnes afanye nini?

Mwambieni TAJIRI he is more than that Tweet. I want VAYOLENSI [emoji2][emoji2][emoji119] HAYO YAMESEMWA NA @mzeewajambia"
 
Kuna mtu kaandika unamnukuu "Kwanza Kabisa naandika haya nikiwa nafahamu hakuna mafanikio ya Simba Sports Bila Mohamed Dewji MO Mtu yoyote anakwambia tofauti na hivi mpuuze Kwasababu wote hapa tunafahamu ni wapi Mohamed Dewji MO ameitoa Simba Sports Juzi tunasheherekea Simba Sports kuwa kwenye nafasi ya 7 kwa Ubora Barani Africa.Hatua hii imefikiwa Kwasababu ya Uthabiti wa mnyama Simba sports Ndani na nje ya Mipaka ya Tanzania Hakuna Kitu kingewezekana hapa Bila uwekezaji wa hali na Mali ya Mohamed Dewji MO.Lakini ni kwa Masikitiko Makubwa yeye Mwenyewe ndo amenifikisha hapa. Amenifikisha kwenye hatua ya Kuwaza yeye pia ni sehemu ya watu wanaokwamisha Mchakato wa Mabadiliko Simba Sports.Kwanini? Kwasababu MO anafahamu Mchakato wa Mabadiliko wa Simba SC umekwamia RITA.Hatua zote umuhimu wamezivuka Ikiwemo Ikiwemo kule Kwenye Fair Competition (FCC),BRELA na Kwingineko. Mchakato wa RITA ni Kuhuisha Mali kutoka SIMBA SC Kwenda SIMBA SPORTS CLUB LIMITED.Simba walihitajika Kupeleka watu kwenye bodi ya wadhamini Kwa uhakiki walifanya.Kujua Assets na Liabilities tayari.Kulihitajika pia idadi ya Wanachama ambao wamekutwa na Mchakato wa Mabadiliko Kwa nafasi ya MO ana uwezo wa kufanya cross checking na watu wa Rita Kuwauliza huu Mchakato upo hapo kwa Muda mrefu sasa tatizo nini? Ana uwezo wa kufikia hata hao mabosi wa Rita Ikibidi.Kwanini hafanyi hivyo unakuja kuleta taharuki na Sentesi mbili za Twitter? Simba Sports ipo kwenye kipindi Muhimu Cha Maandalizi ya msimu baada ya kuwa na misimu hii miwili mibovu.Kulikuwa na haja Kweli ya Twiti ya aina hii ambayo inaleta taharuki? Au Bosi na wewe Umemisi Kuongelewa? Tajiri unataka Ku Trend Baba? Na tumkumbushe Mo Dewji Kwamba huu Mchakato ukishamalizika Rita unarejea kwake.Anatakiwa Kutoa jina lake kwenye Ile Bond ya 20B likae jina la Simba Sports pale.Sasa hivi ni kama Ile 20B ni ya Kwake tu ingawa anatoa gawio la 1.7B kwa Mwaka Na get me Wrong hapa .Sisemi Kwamba MO Dewji hana hoja .Hoja anayo ,Shida nafikiri ni timing na hajaitoa Kupita Platform Sahihi.Yani Kama yeye analalamika na Mgalilaya afanye nini? Agnes afanye nini? Mwambieni TAJIRI he is more than that Tweet.I want VAYOLENSI [emoji2][emoji2][emoji119] HAYO YAMESEMWA NA @mzeewajambia"

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Haya sijui kuandika vzr lkn nimekuzidi kidg weka uandishi wako haya na spacing iwe.1.5
 
WENYE AKILI tulimkataa KITAMBO. Zz

Hata BILIONI 20 Hadi Leo hajatoa.

Huu usajili ni BILIONI 5 ZA SUPER CUP.
BILIONI 2 CAFCL.
MBET.
SANDALAND NK....

SIMBA INA ALMOST 10 BILION
ASITUSUMBUE HUYO MTU.

Acha kuwa na akili za kimaskini ndugu, hizi timu za Simba na Yanga zinamiaka zaudi ya 60, ni hivyo tupu. Watu wamewekeza na kuzipa thamani kwa matokeo leo unalialia.

Hapa kila siku mnaisema yangu hela zimekata hawafanyi usajili mkipiga ramli ya GSM kuitosa yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…