Wewe hutakufa? Inferiority complex, masikini bana wana maneno ya kujipa moyoHalafu mwisho wa siku atakufa tu....
Kwani hao watekaji mbona hadi sasa hatujaambiwa ni kina nani?ina maana hawajakamatwa kama wale walio mshambulia Lissu?
Comment ya KIMASKINIHalafu mwisho wa siku atakufa tu....
Mbona wewe utakufa na bado masikiniHalafu mwisho wa siku atakufa tu....
Huna hela kaa kimyaHizi zote ni shida za dunia tuu mtu kununua ndio mana ake anajilinda watekaji? Sasa ishafahamika lina makamera ko zitamkinga asipate ajali? Wahalifu wakiamua wanatia moto hilo gari na kumuibia au kumfanya vyovyote wanaweza. Ko msipende kuropoka vitu ambavyo hamvijui unakimbilia kupost tu umbea umbea.
Alishawashukuru au ulitaka akawarambe vidoleMO alipaswa kuwajali sana makundi yaliyopaza sauti. Hususani vyama makini vya upinzani.
Hahahahahaaa hii nomaaaaYaani mi nilijua ni gari iliyomgharimu 1b na kuendelea. Kwa hela alizonazo hyo ni ubahiri tu
NdioComment ya KIMASKINI
Ni kawaidaMbona wewe utakufa na bado masikini
Walianza kutuonyesha gari lililotumika kumteka, wakaja wakatuonyesha nyumba ikiyotumika kumhifadhi, wakaja wakatuonyesha silaha zilizotumika kumteka.Kwani hao watekaji mbona hadi sasa hatujaambiwa ni kina nani?ina maana hawajakamatwa kama wale walio mshambulia Lissu?