MO amteua Hans Pope kumuwakilisha Bodi ya Simba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Pamoja na ukweli kwamba MO ni kada mtiifu wa CCM na Hans Pope ni Chadema lakini kule kandandani hawa ni wamoja. Mo amemteua Hans Pope kuingia katika bodi ya Simba katika nafasi zake sita kama mwekezaji.
 
Hakuna kada mtiifu mfumo mbovu wa siasa za kipuuzi ndizo zinawafanya waonekane watiifu kwa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…