Mo anajenga klabu, Manji anatafuta sifa na manufaa

Ndio amekwambia hata Muungano wa Tanzania ni wa pekeee duniani uliigwa kutoka wapi!!!??? Kwa nini kila kitu uige kutoka kwa hao wazungu wenu!!??? Igeni nyie side tumekodisha povu la nini likutoke tunakodisha timu yetu wewe unaneng'eneka nini
Mkuu umemjibu vyema. Hatuwezi kila siku kuiga kwa wazungu. Wakati umefika sasa na sisi tuanzishe halafu wengine waige kutoka kwetu. Unapofanya dissertation au thesis ni lazima uibuke na ORIGINAL CONTRIBUTION to existing knowledge, bila hivyo Profs hawawezi kukupa digrii. Hata hivyo, kumekuwa na maswali mengi yakiuliza What is that original contribution? Phillips & Pugh (2005, p. 62) wanajibu maswali hayo kama ifuatavyo:

1. Carrying out empirical work that hasn’t been done before;

2. Making a synthesis that hasn’t been made before;

3. Using already known material but with a new interpretation;

4. Trying out something in Britain that has previously only been done

abroad;

5. Taking a particular technique and applying it in a new area;

6. Bringing new evidence to bear on an old issue;

7. Being cross-disciplinary and using different methodologies;

8. Looking at areas that people in the discipline haven’t looked at before;

9. Adding to knowledge in a way that hasn’t been done before.

Source: http://library.ciitlahore.edu.pk/hub/How_to_get_PhD.pdf

Kwa kuzingatia point namba 5 hapo juu; suala la kukodisha siyo geni hapa Tanzania na hata ulimwenguni kwa ujumla. Mtakumbuka kuwa Tanzania tuliwahi kukodisha Management ya TANESCO kwa Net Group Solution ya Afrika Kusini na vilevile tulikodisha Air Tanzania kwa South African Airways, baada ya wakodishiwa kutuzingua Serikali ilirejesha mashirika yake na leo hii TANESCO ipo na hata ATC ipo tena inasukwa upya kupitia #Hapakazitu, ndege mbili mpya ziko njiani na marubani watano wako mafunzoni. Hata Yanga itarejea mikononi mwa wanachama baada ya miaka 10 na hata kabla ya hapo endapo mkodishiwa atashindwa kutimiza vipengele vya mkataba.

Alichokifanya Manji ni kuchukua technique ya kukodisha kutoka maeneo mengine na kuileta kwenye michezo eneo ambalo ni jipya hence original contribution.
 
Anajifanya kipofu,yaani anamcheka aliyekodisha shamba lake ilihali yeye la kwake kauza,si muujiza huu...???
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
We uliendika uzi huu ubongo wako umetawaliwa na mawazo mgando jitahid kukiweka kichwa chako juani il akil yako iyayuke
 
simba na yanga wote ni wale wale
Hapana Mkuu. Chukua Msukuma kama mimi Makoye Matale nimekodisha shamba langu kwa Mchagga aitwaye Urassa kwa miaka 10 alilime halafu kuna Mnyakyusa aitwaye Mwakalindile ameuza shamba lake kwa Mkenya aitwaye Okkott, unadhani ni nani bado ana umiliki na mali yake?

Yanga tuko salama Zaidi ilikilinganishwa na mikia fc.
 
Anajifanya kipofu,yaani anamcheka aliyekodisha shamba lake ilihali yeye la kwake kauza,si muujiza huu...???
Unaweza kuniambia tofauti kati ya OWNER na MAJORITY SHAREHOLDER?
 
Kama kuna wakati Yanga imepoteza dira ni hiki kipindi ambacho manji anawaongoza.

YANGA ni klabu ya kuhurumiwa...Yaani wanachama hawajielewi, wananunuliwa kirahisi...na hakuna mtu atakayeweza kuiongoza YANGA kwa hapo ilipofikia...uendeshaji umekuwa inflated...ni nani atakayeweza kuongoza klabu ambayo mshahara wa mchezaji wa kigeni nafikia dola 6,000 na usajili zaidi ya sh. milioni 100. Wasomi karibu wote 'wamekimbia'....Waache walinywe nadhani 'PAN' nyingine inawanyemelea... Hawajajifunza kwa yale ya nyuma...
 
Naona yule bundi wa migogoro na kugombana akihamia yanga safari hii, kweli haya mambo ni kwa zamu na sasa ni zamu yao, manji mjanja sana amefanya vile baada ya kuona Dangote anaitaka ile timu ndo maana akaamua ajilodishe fasta fasta
 
Naona yule bundi wa migogoro na kugombana akihamia yanga safari hii, kweli haya mambo ni kwa zamu na sasa ni zamu yao, manji mjanja sana amefanya vile baada ya kuona Dangote anaitaka ile timu ndo maana akaamua ajilodishe fasta fasta
Tena safari hii bundi amekuja kw hasira sana. Mpaka sasa 50% ya wanayanga hawakubali klabu yao kukodishwa kama shamba la kulima....patamu hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…