Mo aungana na Bakhressa kuichinjia Yanga baharini

Ninachowashangaa Yanga ni jinsi mnavyochukia record za simba.Huu ni mpira wetu kama MO alifikisha timu mbali 2003.why not Yanga 2day?
 
Yanga wengi mmechukia simba kuwa chini ya MO.Why? Tuacheni tuboreshe timu yetu.Mafanikio ya simba ni ya Tz nzima.si ya MO peke yake.
 
Ingekuwa pesa ya timu kwenye account au usajili ndio ubingwa au mfanikio, Leicester City angetoboa mbele ya vigogo kama Man City???!?!! Wajengeni wachezaji wawe na morale na timu sio siasa siasa na kelele mtaani Mooo! Mooooo! Moooo!
 
Mkuu, tulieni Mo & Bakhresa waijenge timu.....punguza roho mbaya zenu.
 
Yanga wengi mmechukia simba kuwa chini ya MO.Why? Tuacheni tuboreshe timu yetu.Mafanikio ya simba ni ya Tz nzima.si ya MO peke yake.
Yanga watapambana lakini hawataweza kuyazuia mafuriko ya Mo kwa mikono. Watulie tu sindano ziingie maana hakuna jinsi.
 
Siku mwanangu akiniambia anaipenda Simba namuachia radhi.

Hivi, kati ya Mooo na Bakhresa, nani ana fedha?

Kama fedha ndio zinakiputa, mbona Azam nyuma ya Yanga?

Hiyo miaka ya Moooo (cow) na maziwa yake, inamfanya Yanga awe nyuma ya Simba kwa makombe mangapi?

Rage ana akili sana, alisema akili za mashabiki wa Simba ni ....., sasa naamini.

Mimi ningeshauri tu kuwa hizo fedha mtakazopewa na Moo, mzipeleke Fast Jet moja kwa moja angalau na nyie mpande ndege hata kwa kuzuga kama mnaenda safari.
 
Sina cha kuchangia hapa bongo wa Mashabiki wa Simba Rage alishauongelea
 
Waungane na Dangote,Bill Gates,yanga habari nyingine
 
Yaani toka bilion 1.5 hadi milioni 100? Mnachekesha nyie paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…