Mo awachana simba

Uto kama uto katika ubora wao. Yaani umekaa umediscuss na ikulu ya makalio yako ukaona uje na uzi huu. Hahaha haaa
 
Manyani bna 🚮🚮🚮🚮
 
Makolo wanalazimisha furaha yani. [emoji23] Mwamedi hatamani tena kuvua shati abakize kidali kama misimu iliyopita.
 
Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha?

Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa


Bundi katua Makolo fc
Sasa kuwaambia wachezaji ukweli ndio bundi katua?
 
Sasa hapo kuna ubaya gani?? Ukiambiwa ufanye kazi yako vizuri kuna ubaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…