hamasa muhimu na ya maana sana hii 🐒Habari wakuu
Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.
Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
Mungu Mwema,Swali ni Je ...itawezekana??
Ingekuwa nafuu kama msinge ruhusu lile goliMungu Mwema,
Inafahamika,
mafarao wamejianda vizuri na Simba wamejiandaa na kujipanga vizuri kushinda mchezo huo, na kwa hamasa hiyo muhimu na ya maana sana, matumaini ya kushinda yapo, tena makubwa sana. kwa maoni yangu[emoji205]
kama mafarao waliweza kupata goli apa kwetu, simba inaweza vilevile kupata magoli zaidi kule kwao pia...Ingekuwa nafuu kama msinge ruhusu lile goli
NdioSwali ni Je ...itawezekana??
Mechi gani?Pia Kuna kipindi aliahidi 300m.... Baada ya makolo kushinda ..jamaa akaingia mitini[emoji23]
Tajiri ahadi uyo ila utekelezaji n changamoto, anajua kususa tu.Pia Kuna kipindi aliahidi 300m.... Baada ya makolo kushinda ..jamaa akaingia mitini[emoji23]
Hakika bora hiyo 500m angetoa hata 50m iende kwa mashabiki.Kama pesa ipo wangewasaidia pia mashabiki wao waende wakaongeze hamasa badala ya kukaa kuimbiana taarabu tu na watu wa Yanga kisa pesa za serikali
Simba ikishinda, utasikia anasema alitumia milion 500 kwenye maandalizi ya timu hivyo imekuwa used kwa wachezaji tayari.Habari wakuu
Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2023-20 24.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’amesema motisha imetolewa ni kubwa hivyo ni jukumu la wachezaji kujituma na kupata matokeo katika mchezo huo.
Je tajiri anatuzuga...au yupo serious....???
Au Kwa vile anajua hili ni impossible [emoji23][emoji23] Kwa makolo kushinda View attachment 2953408
Mpira Baada Ya Kuchezwa Tutajua Ila Yoyote Anaweza Kufungwa Na KutolewaSwali ni Je ...itawezekana??