Mo aweka 500milion Simba akishinda ingawa hata yeye anajua tu haiwezekani

Guvu moya.
 
Hata akiweka 2.3b zitaozea mfukoni mwake tu.
 
Sio Kwamba wazee wa 10% ndo wanamharibia
 
[emoji23][emoji23]
 
Kama kila stage utatoa zawadi tu hao wahusika watakuwa wanalipwa mishahara ya nini? Kuingia makundi utoe zawadi, kuchukua ngao ya hisani zawadi. Hao wachezaji uliwasajili wafanye nini kama ngao ya hisani unawapa zawadi?

Una shamba eka 5, umeajiri vibarua kwa ujira wa kulima eka 3, kila wakimaliza eka moja utawapa zawadi nje ya ujira au utawapa zawadi iwapo watalima zaidi ya eka 3?

Unatoa zawadi pale ambapo kinachofanyika ni zaidi ya kilichotegemewa kifanyike ukilinganisha na uwekezaji ulioweka. Mbona mambo madogo haya wala haihitaji akili ya ziada kuyatambua.
 
usikatishe tamaa wanaSIMBA NGUVU MOYA🐒
 
GSM kaweka 100M kwa kila goli litakalofungwa.... 😀
 
Danganyaneni na Mwamposa huko Kawe kwenu km mnadhani watu wana mizaa kwenye kazi. Ninyi mnachokiweza ni kukwapuo mataulo ya walinda milango,kuingia uwanjani kupitia lango lisilo rasimi ama kuingia kinyumenyume.
Subiri uone
 

Tapeli huyu, anajua haiwezekani

Kesho SSC anafungwa Goli 2 bila

Mimi nashangaa kweli watu wanapoteza muda kuifuatilia SSC, ni lini imeshinda mbele ya Al ahly misri?

Haiwezekani a haitotokea

Game ya ku focus Kesho ni Yanga , angalau kuna hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…