Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Feb 17, 2023 #101 Kumbe tuna BAL Halafu Rwanda wanatupelekesha, na ndio kati ya nchi waanzilishi Kweli bongo hakuna Basketball Hata ingekuwepo kipindi kile cha 90s kulivyo kuwa na Pazi na Vijana, hawangeweza hata kufikia huku
Kumbe tuna BAL Halafu Rwanda wanatupelekesha, na ndio kati ya nchi waanzilishi Kweli bongo hakuna Basketball Hata ingekuwepo kipindi kile cha 90s kulivyo kuwa na Pazi na Vijana, hawangeweza hata kufikia huku
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Feb 17, 2023 #102 Kama NBA vile Hata Mozambique, wanatupiga bao..
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Feb 17, 2023 #103 The Boss said: Hasheem wala sio biggest NBA flop... Kuna ma flop kuliko Hasheem ..kam Google Michael Oluwakundi Click to expand... Kivipi?
The Boss said: Hasheem wala sio biggest NBA flop... Kuna ma flop kuliko Hasheem ..kam Google Michael Oluwakundi Click to expand... Kivipi?