babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Anajua kuwachezeeni akiliMmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?
Mwenye mali yake ndio kashasema, we kajambana nani huwezi fanya kitu, sana sana andaa majina ya wachezaji wakufukuzwaKwanza kitendo Cha kuwajadili live wachezaji kwenye mitandao ya kijamii ni. Unyanyasaji na uvunjaji mkubwa wa haki za binaadamu . Namwamuru asitishe utopolo huo mara Moja. Kama unataka kuacha wachezaji Kuna njia za kufanya lakini sio kuwapa nafasi mashabiki kuwashambulia mitandaoni. Sisi watetezi wa haki za wachezaji tutarika naye kama mwewe
atafukuzwa na nani na Simba ni mali yake mwaka wa 5 huu?Huyu tapeli yeye ndio awe wa kwanza kufukuzwa hapo simba. Bila hivyo timu itabaki hapa hapa ilipogotea
Ajaribu kufanya hivyo aoneMwenye mali yake ndio kashasema, we kajambana nani huwezi fanya kitu, sana sana andaa majina ya wachezaji wakufukuzwa
Mkuu hujaipata hii habari? Tembelea instagram ya tajili Dewj au mitandao ya kijamii utaipataKama hii ni kweli basi anashida kubwa katika swala la uongozi. Nakumbuka hata swala la Mgunda lilianzia kwa boss kukusanya maoni kwenye Instagram
Kumbuka Simba ni mali ya Mo Dewj huu mwaka wa tano sasa, unataka kubishana na tajili wewe?Ajaribu kufanya hivyo aone
Mkuu,Toka lini mashabiki wakafanya scouting?🤣🤣🤣
Basi tatizo la kwanza ndani ya Simba lipo kwa muhimili mkuu. Huyo Mo anakosa maarifa na busara za kiuongozi.Mkuu hujaipata hii habari? Tembelea instagram ya tajili Dewj au mitandao ya kijamii utaipata
Hilo nalitambua kabisa ni Mali yake halali kabisa na wanaopiga kelele timu ikifungwa hawatambukliki kwa sababu hawana hisa hata Moja na haeachangii chochote kwenye timu. Lakini hana mamlaka ya kuwadhalilisha wachezaji liveKumbuka Simba ni mali ya Mo Dewj huu mwaka wa tano sasa, unataka kubishana na tajili wewe?
Anapenda kutrend huyu.Mmiliki wa klabu ya Simba ndugu Mohamed Dewji amesema ya kwamba atazungumza na wanasimba instagram live ili wamueleze changamoto za klabu yao ikiwemo wachezaji gani wafukuzwe katika klabu ya Simba..
Pia amewaomba wanasimba waandae majina ya wachezaji wanaoona wanafaa ili awasajili dirisha lijalo la usaji..
Kwako mwana Simba je unapendekeza nani afukuzwe na nani asajiliwe?