Wamegundua akina Shangazi kaja ndo wanaovujisha siri ya jando. Mo hakuweka 20b.Nachojua Mo walitafuta namna ya kuwafukuza kina shangazi ili wao wabaki na mfumo wao
Yah wale wanasiasa Kila jambo kwao ni siasa hawajui huku kwingine maisha yana formula zakeW
Wamegundua akina Shangazi kaja ndo wanaovujisha siri ya jando. Mo hakuweka 20b.
Timu ya Simba ni mali ya familia ya Dewj, Simba wanaogopa kuufichua huu ukweli.
Kauli mbiu yao ni “Wewe una hela ya kusajili na kulipa mishahara au unaropoka tu”Ngoja vijana wake waje wakutukane.