wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Kwani huwa anacheza namba ngapi?Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba.
Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi...
Mnavyoongea ni kama kombe huwa mnalichukua kila msimu, usisahau kuwa ni mwaka wa tano huu sasa hamna kombe.Mwaka huu mtaitana wote dadekiiii si kwa mpira ule.Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yanga ni bora
Mwaka wa tano??we ni mbumbumbu wa level za juuMnavyoongea ni kama kombe huwa mnalichukua kila msimu, usisahau kuwa ni mwaka wa tano huu sasa hamna kombe.
We unataka tuongeeje?Mnavyoongea ni kama kombe huwa mnalichukua kila msimu, usisahau kuwa ni mwaka wa tano huu sasa hamna kombe.