Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katiba inasemaje ama ndiyo iko kwenye wakati wa mpito endelevu usio na kikomoRais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini.
Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba ipate mwenyekiti ambaye yupo karibu na shughuli za kila siku za klabu. “Nitaendelea kubaki kama Mwekezaji na Rais wa Simba SC, lakini nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi sasa inakabidhiwa kwa kiongozi mpya,” ameeleza.
Kwa mamlaka aliyopewa chini ya Katiba na Kanuni za Kampuni (MEMARTS) ya Simba Sports Club Company Limited, Ibara ya 41, amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC.
Aidha, ametangaza pia wajumbe wapya wa Bodi upande wa Mwekezaji ambao ni:
• Barbara Gonzalez
• Hussein Kitta
• Azim Dewji
• Rashid Shangazi
• Swedi Mkwabi
• Zuly Chandoo
• George Ruhango
View attachment 3465001
MoDewji ana udini sana huyo mpumbavu angalia orodha hioRais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini.
Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba ipate mwenyekiti ambaye yupo karibu na shughuli za kila siku za klabu. “Nitaendelea kubaki kama Mwekezaji na Rais wa Simba SC, lakini nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi sasa inakabidhiwa kwa kiongozi mpya,” ameeleza.
Kwa mamlaka aliyopewa chini ya Katiba na Kanuni za Kampuni (MEMARTS) ya Simba Sports Club Company Limited, Ibara ya 41, amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC.
Aidha, ametangaza pia wajumbe wapya wa Bodi upande wa Mwekezaji ambao ni:
• Barbara Gonzalez
• Hussein Kitta
• Azim Dewji
• Rashid Shangazi
• Swedi Mkwabi
• Zuly Chandoo
• George Ruhango
View attachment 3465001
Udini?Vipi kuhusu wale wasio na dini,Wabahai,Tao nk?MoDewji ana udini sana huyo mpumbavu angalia orodha hio
Kalpana Scars Kipenzi Changu Kiweriweri Tsh TuiRais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini.
Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba ipate mwenyekiti ambaye yupo karibu na shughuli za kila siku za klabu. “Nitaendelea kubaki kama Mwekezaji na Rais wa Simba SC, lakini nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi sasa inakabidhiwa kwa kiongozi mpya,” ameeleza.
Kwa mamlaka aliyopewa chini ya Katiba na Kanuni za Kampuni (MEMARTS) ya Simba Sports Club Company Limited, Ibara ya 41, amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC.
Aidha, ametangaza pia wajumbe wapya wa Bodi upande wa Mwekezaji ambao ni:
• Barbara Gonzalez
• Hussein Kitta
• Azim Dewji
• Rashid Shangazi
• Swedi Mkwabi
• Zuly Chandoo
• George Ruhango
View attachment 3465001
Hivyo hivyo ..na inaenda ..Hii klabu sijui huwa inaendeshwaje...
Anao ila ni bilionea...wewe ambaye hauna udini whats your worthMoDewji ana udini sana huyo mpumbavu angalia orodha hio
Nyie ndio mnaochafua hali ya hewaMoDewji ana udini sana huyo mpumbavu angalia orodha hio
Uko wapi huo udini ikiwa mwenyekiti ni mkristo?MoDewji ana udini sana huyo mpumbavu angalia orodha hio
Uko wapi huo udini ikiwa mwenyekiti ni mkristo?