Mo Dewji awapa zawadi ya milioni 84 wachezaji Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
UONGOZI SIMBA SC WAWAMWAGIA FEDHA WACHEZAJI

Uongozi wa Mabingwa Tanzania Bara Simba SC kwa kushishirikiana na Muwekezaji wao Mohammed Dewji (Mo) umetimiza ahadi yao kwa kikosi Cha Simba SC kwa kutoa motisha ya Shilingi milioni 84 kwa kufanikiwa kuingia hatua ya makundi Klabu bingwa Afrika na kutoa tena ahadi endapo watafanya vizuri katika hatua hiyo, watawapa pesa nyingine zaidi ya hiyo.

Walioanza kikosi cha kwanza siku ya mchezo dhidi ya Nkana FC wamepata millioni 4 kila mmoja, walioingia kipindi cha pili Sh.2 millioni kila mmoja , walionzia benchi sambamba na wale ambao hawakuwa sehemu ya mchezo wote wamevuta Sh.millioni 2.

Nahodha wa klabu hiyo John Bocco ameushukuru Uongozi na kutoa ahadi ya kufanya vyema hatua ya makundi ili kulipa fadhila kwa uongozi na wanachama wao.
 
Jiwe kutoa 50m akaita waziri, na media karibu zote na masimango juu...!
Simba ndio wawakilishi sahihi wa nchi, lakini kwa upande mwingine hizi ni habari mbaya kwa gongowaz fc, maana wanavyotoa udenda kwenye huo mpunga...
Nasikia baada ya hii taarifa wametuma SMS kwa kina Bocco wachangie chochote kitu
 
Kwanini hizi pesa wasipewe yanga ili ziwasaidie kwenda mbeya kwa ndege na kupata msosi wa mchana
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…