Mo Dewji awapa zawadi ya milioni 84 wachezaji Simba SC

AISEE MM NINGEKUWA NDO MO HATA ZAIDI NINGETOA SI KAA LILE GOLI JAMANI LOH! HAD MTANGAZAJI ANAULIZA
HIVI MACHO YAKE YANAONA KAMA MM JAMAN MACHO YENU YANAONA KAMA MM?
 
Jiwe kutoa 50m akaita waziri, na media karibu zote na masimango juu...!
Simba ndio wawakilishi sahihi wa nchi, lakini kwa upande mwingine hizi ni habari mbaya kwa gongowaz fc, maana wanavyotoa udenda kwenye huo mpunga...
Hapa ndo ule umbumbumbu aliousema Rage unadhihirika live
 
MO bwana raisi katoa milioni 50, yeye katoa 84, sii unajua jamaa halitaki mashindano, haya bwana usitembee ovyo, tunakuhitaji simba
 
Reactions: PNC
Hongera uongozi wa shimba, motisha ni kitu kïzuri sana, ila Dilunga Kichuya na juuko wangewaweka kwenye kundi la kikosi cha kwanza kwani uwezo huo wanao ila ni plan ya mwalimu tu.
Mkuu HD ni attacking midfielder hatari sana hasa anapoingia kipindi cha pili baada ya kuusoma mchezo, tizama alipoingia kwenye mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya mbabane swallows hapa dsm, angalia alichokifanya tena kwenye game na Nkana baada ya kutokea bench.
 
Hilo goli limewafunga mapopoma wengi sana midomo.
 
Mkuu weka kapicha tuone
 
Kwenye mechi ya Azam FA inabidi MO awape wachezaji wa Simba kila mmoja milioni 10 Coz wamefanya vizuri sana. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Walipata mihela wakaenda kulewa wote kwenye mechi ya Azam FA wakaingia uwanjani wakiwa chakali mpaka mpira mmoja wanauona kama vile ni mipira minne wakawa wanashindwa wafuate upi na waache upi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…