MO Dewji kuwekeza Bilioni 263 kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote nchini Kenya

Mo arudishe mashamba yetu wa mkonge na aweke bilioni 20 kwenye akaunti ya Simba.
 
Samia katangaza Tanzania kuna magaidi lazima wawekezaji wakimbie.
 
mkiambiwa kwamba hawa arabs, irans, pakis siyo watu wetu mnasema sijui ubaguzi (ubaguzi ni neno lililoanzishwa na communists na lengo lake ni to keep black people poor and backward, black man can not fight back), unajiluiza mtu tajiri na bilionea anawezaje hata kubaguliwa na masikini black men hadi mumuite black men mbaguzi? lkn ndiyo hivyo ukihoji wizi, nepotism na unfair treatment of blackpeople unaofanywa na hawa watu unapewa lebo ya "mbaguzi au mdini".

afrika itaweza tu kukombolewa na black people, hawa wote mnaowaita watanzagiza ninyi ndio mnaowaona hivyo lkn wao hawajioni hivyo, wanaiba tanzagiza wanakwenda kuwekeza elsewhere, huyo mo utajiri wake wote kauchuma tanzagiza lkn anakwenda kuzalisha ajira nchi nyingine, same muiran anajenga mombasa kiwanda cha gesi worth >130 million usd kwa nini hiyo fedha asiiwekeze tanzagia kama kweli anaipenda hii nchi na watu wake isistoshe kama tanzagiza ni kubaya kiasi hicho kwa nini hawahamii kenya na kwenda kuishi huko? lkn wanaishi tanzagiza wanachota rasilimali na kwenda ku-invest nje, ukiwahoji unaitwa mbaguzi na mdini,

haya vikaragosi vya iran, arabs, pakis uwanja wenu kuwatetea kama kawaida yenu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…