Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kujenga timu kuna hitaji majadiliano, (maswali na majibu), Simba sc siyo ya mtu binafsiMohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya.
Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi la ufundi na kuweka msingi wa mwelekeo mpya. Ameahidi kuzungumza na mashabiki moja kwa moja hivi karibuni, huku akisisitiza kuwa mbele kuna mwanga na matumaini mapya.
View attachment 3402020
Tatizo njaa ikizidi unaishiwa nguvu.Wapenzi wa Simba,
Tutarudi tukiwa wenye njaa zaidi.
Kwenye uchaguzi alimleta Manzoki bila shaka kwenye mkutano huu atakuja na picha ya Achraf Hakimi! πππMohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya.
Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi la ufundi na kuweka msingi wa mwelekeo mpya. Ameahidi kuzungumza na mashabiki moja kwa moja hivi karibuni, huku akisisitiza kuwa mbele kuna mwanga na matumaini mapya.
View attachment 3402020
Anawaletea Fei Toto na Pacome Zouazoua.Anakuja kutufunga kamba gani tena?
Hii ni Yohana 3:27 nimemwelewa sanaMbele yetu kuna mwanga. Na kwa pamoja, tutarudi tukiwa imara zaidi, wenye njaa zaidi, na wa kishujaa zaidi.
Kufungwa na Yanga ni kufika mbali hapo nimekubari sana yupo sahihi kweli kabisa Mangungu must GOKuna haja gani mashabiki kulalamika wakati rais wenu anasema msimu huu mmefika mbali zaidi ya malengo yenu ya msimu
Msimu uliopita walikuwa nafasi ya 3 NBC premier league mwaka huu ni wa 2 na wameshiriki kombe la shirikisho Hadi fainali kama mshindi wa 2 wamepata bilioni 3Kuna haja gani mashabiki kulalamika wakati rais wenu anasema msimu huu mmefika mbali zaidi ya malengo yenu ya msimu