Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE
kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa.
Cha ajabu Hawa mashabiki maandazi ambao kutwa walikuwa wanamtukana Mo dewji, na yule CEO Barbar , sasaivi wanaisifia Simba na kocha Mgunda wanasahau pia nyuma ya hayo mafanikio yameambatana na fedha ambazo muwekezaji wetu Mo kwa miaka yote anatoa, pamoja pia na uongozi mzuri wa CEO.
Kwahiyo nashauri tujitaidi tuwe tunatumia akili wakati wakukosoa ,sio jitu Lina chuki zake lilinyimwa hela na Mo kama yule kigwwangala, au hili jamaa GENTAMYCINE ambalo nasema ni limamluki ambalo Wala sio shabiki la Simba, lenyewe kutwa kuutukana uongozi wa club mitandaoni, saizi lilivyo linafiki heti na lenyewe Lina furaha kwa Simba kuvuka hatua ya makundi